AY ambaye
kwa sasa yupo jijini Nairobi, Kenya, AMESEMA kuwa anashangaa
kugundua kuwa namba yake ya simu inapatikana wakati chip anayo yeye na
haipo kwenye simu.
Mbaya zaidi mfanyaji wa tukio hilo anaomba watu fedha_AKISEMA Yeye ni AY...Fundi Frank ni miongoni mwa marafiki wa AY walioombwa fedha na mtu huyo
HIZI NI BAADHI YA TWEET ZA AMBWENE YESSAYA
— Ambwene AY (@AyTanzania) January 12, 2015Niko Kenya line yangu iko off but nashangaa huko Tanzania iko ON na inatumika
— Ambwene AY (@AyTanzania) January 12, 2015Kufuatia tukio hilo, Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba ameziagiza mamlaka husika kufuatilia haraka jambo hilo.
“@Tigo_TZ: @JMakamba @AyTanzania tunalipeleka swala hili kwenye idara husika lifanyiwe uchunguzi.”>>>lipatiwe ufumbuzi.— January Makamba (@JMakamba) January 12, 2015
Huu ni mchezo ambao wengi wanafanyiwa hususani wanaotoka nje ya nchi__take care
0 comments:
Post a Comment