Mshambuliaji nyota wa Barcelona,
Lionel Messi akiwa na mpenzi wake Antonella na mtoto wao katika maandalizi ya
sikukuu ya Krismas.
Kawaida Ulaya maandalizi
hufanyika mapema kuanzia mwanzo wa Desemba.
Utaona nyumbani kwa Messi kumeishapambwa kabisa, kuonyesha sikukuu imeishaanza na maandalizi ndiyo tayari.
0 comments:
Post a Comment