Kwa mujibu wa habari zinazoandikwa kwenye mitandao ya nchini Marekani,
Michelle Obama anadaiwa kumfukuza mumewe Barack Obama nje ya ikulu ya
White House baada ya kudaiwa kumchombeza mwanamke aliyechumbiwa wakati
wakipiga kura huko Chicago hivi karibuni.
Tukio hilo lililomhusisha msichana aitwaye Aia Cooper, liliandikwa sana
na vyombo vya habari kama jambo la utani tu kwakuwa Obama alikuwa
akimtania msichana huyo pamoja na mpenzi wake. CHEK HAPO CHINI JAMAA anavyochombeza
0 comments:
Post a Comment