Kanye West ndiye aliyesababisha ndege iliyokuwa inatoka Paris kwenda Helskini kuchelewa kuondoka.
supastaa huyo alikuwa anasafiri kutoka Paris, Ufaransa kwenda
Helsinki, Finland jana asubuhi na pamoja na kupanda kwenye ndege hiyo
kwa kuchelewa aligoma kuomba radhi kwa kuwachomesha mahindi abiria
wengine.
CHECK me!!!!
Thursday, November 27, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment