Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Tuesday, October 21, 2014

RAPPA CAM'RON APATA KINGA YA EBOLA:ISOME HAPA

KAMA unataka kuwa salama na ugonjwa wa ebola usiogope meeeeeen

Rapper Cam'ron kaamua kuja na kinga  thabiti ambapo utaipata kwa dola za kimarekani $20 tu  au shilingi za kitanzania 36 elfu tu

CAM'RON NA  MASK ZAKE

Jamaa kaja na kampuni yake ya kuuza maski za kujikinga na  Ebola yaani (Ebola masks) na mbele ya maski hiyo kuna picha yake

Inapendeza lakini japo kisayansi ebola pia inaambukizwa na watu kushikana,NA  sio hewa pekee



0 comments: