Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Sunday, October 19, 2014

MESSI AFIKISHA BAO 250 LIGI YA HISPANIA (LA LIGA) HUKU AKIBAKIZA BAO MOJA TU AWEZE KUIFIKIA RECOD.

NEYMAR-MESSI
Messi kulia na Neymar kushoto.
 







SUPASTAA wa Barcelona Lionel Messi Jana alifunga Bao 1 wakati Timu yake inaichapa Eibar Bao 3-0 kwenye Mechi ya La Liga na kufikisha Bao 250 kwenye Ligi hiyo ikiwa ni Bao 1 tu nyuma ya Rekodi ya Straika wa zamani wa Athletic Bilbao Telmo Zarra mwenye Bao 251.
Pia Jana Messi alikuwa akisheherekea Miaka 10 tangu aanza kucheza La Liga akiwa na Klabu yake hiyo hiyo Barcelona.
Bao nyingine za Barca kwenye Mechi hiyo ya Jana zilifungwa na Xavi na Neymar.
Ushindi huo wa Barca hapo Jana uliendelea kuwachimbia Vainara hao wa La Liga kileleni mwa Ligi hiyo huku Wikiendi ijayo wakiwa wanaivaa Real Madrid kwenye El Clasico.
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
MSIMAMO-Timu za Juu:
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
FC Barcelona  
8
7
1
0
22
0
22
22
2
Real Madrid CF
8
6
0
2
30
9
21
18
3
Valencia
7
5
2
0
17
4
13
17
4
Sevilla FC
7
5
1
1
13
8
5
16
5
Atletico de Madrid
7
4
2
1
12
7
5
14
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
Mapema Jana, Real Madrid, wakicheza Ugenini, waliibamiza Levante Bao 5-0 na Cristiano Ronaldo kufunga Bao 2 na kufikisha Bao 15 kwenye Mechi 7 za La Liga Msimu huu.
Bao nyingine za Real zilifungwa na Javier Hernandez ‘Chicharito’, James Rodriguez na Isco.

LA LIGA
RATIBA/MATOKEO:
**Saa za Bongo

Ijumaa Oktoba 17
Granada CF 0 Rayo Vallecano 1
Jumamosi Oktoba 18
Levante 0 Real Madrid CF 5
Athletic de Bilbao 1 Celta de Vigo 1
FC Barcelona 3 SD Eibar 0
Cordoba 1 Malaga CF 2

Jumapili Oktoba 19
1300 Atletico de Madrid v RCD Espanyol
1800 Deportivo La Coruna v Valencia
2000 Elche CF v Sevilla FC
2200 Villarreal CF v UD Almeria

Jumatatu Oktoba 20
2145 Real Sociedad v Getafe CF

0 comments: