HUKO AMERICA YA KUSINI KAGUNDULIKA BUIBUI MKUBWA KULIKO WOTE DUNIANI
Buibui huyo ambaye anaitwa Goliath birdeater (kitaalamu Theraphosa blondi) ana miguu mirefu inayokaribia (sentimita 30 ) na uzito wa karibia robo kilo
CHAKULA CHAKE NI WANYAA WADOGO KAMA vyura na na minyoo
na huwa wanatembea usiku tuu
@USIOMBE KUKUTWA NAE HUYU

0 comments:
Post a Comment