Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Tuesday, September 23, 2014

MBAVU:KICHEKELEO CHA LEO

POLISI: Halloooo naongea na Frenki hapo?
FRENKI: Ndio nani mwenzangu?
POLISI: Tafadhali njoo hapa kituo kidogo cha polisi, kuna mashtaka hapa mbwa wako kafukuza mtu kwenye baiskeli
FRENKI: Waongo hao mbwa wangu hana baiskeli


hahaaaaaaaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

0 comments: