VS
LEO USIKU:KATIKA DIMBA LA DARAJA LA STAMFORD(STAMFORD BRIDGE) MTOTO HATUMWI DUKANI KWANI VINARA WA LIGI KUU SOKA NCHINI UINGEREZA MANCHESTER UNITED WANAKIPIGA NA WALIO NAFASI YA TANO KATIKA MSIMAMO WA LIGI HIYO,CHELSEA KATIKA GEMU AMBALO LINATARAJIWA KUWA GUMU KINOMA.
UBASHIRI: aisee matokeo hayatabiriki,lets wait and see folks!!!!!
0 comments:
Post a Comment