FRANK LAMPARD |
DAAH! JANA USIKU KATIKA DIMBA LA STAMFORD BRIDGE FRANK LAMPARD ALIRUDISHA MATUMAINI YA CHELSEA BAADA YA KUIFUNGIA BAO KWA NJIA YA PENALTI KATIKA DAKIKA YA 80 YA MCHEZO NA HIVYO KUIFANYA CHELSEA KUCHOMOKA NA USHINDI WA BAO 2-1 DHIDI YA MAN U.
MAN U WALIKUWA WAKWANZA KUPATA BAO KATIKA DAKIKA YA 29 YA MCHEZO KUPITIA KWA WYNE ROONEY,BAO LILILOSAWAZISHWA NA LUIZ KATIKA DAKIKA YA 54.
KWA UPANDE MWINGINE MCHEZAJI WA MAN U, NEMANJA VIDIC ALITOLEWA NJE KWA KADI NYEKUNDU DAKIKA YA 90 KWA MCHEZO MBAYA.
0 comments:
Post a Comment