Anaitwa Rashz wa Bara ni msanii kutoka nyanda za juu kusini anawakilisha Iringa,Anafanya kwa ufanisi wa hali ya juu muziki wa Mduara na hajawahi kuuangusha muziki aina hii na hapo kaja na wimbo mwingine unaitwa Nani kama mama,na ni mduara mzuri ambao unachezeka na pia una ujumbe mzuri. PAKUA na uusikilize hapa bure kabisa Kwa wale watangazaji wimbo huu ni mzuri wa kutumia kwenye vipindi vinavyo muhusu mwanamke hususani mama.

1 comments:
Hii nyimbo mbona hai ply
Post a Comment