Shisha |
Wizara ya afya ya Kenya imekuwa ikitoa tahadhari dhidi ya matumizi ya uvutaji wa shisha ,katika siku hii ya kuadhimisha siku ya tumbaku duniani.
Siku hii ilitengwa na Shirika la Afya duniani kuwaonya watu kuhusu hatari za uvutaji wa sigara.| Ujumbe wa Twitter uliochapishwa na wizara ya Afya nchini Kenya |
0 comments:
Post a Comment