Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Tuesday, June 21, 2016

PICHA:CHINA ni noma angalia mafunzo ya kijeshi wanayopewa wahudumu kwenye ndege


Hii imeripotiwa na mtandao wa Daily Mail ambapo nchini China wahudumu wa ndege wanaandaliwa kwa mafunzo makali ya kijeshi, mafunzo hayo yametolewa ili kuwaandaa pale dharura inapotokea kwenye anga. Baada ya kuhitimu mafunzo wamechaguliwa kuwa maofisa usalama wa anga mbali na majukumu yao mengine ya uhudumu ndani ya ndege.
3578080700000578-3648864-image-a-23_1466382067283
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

0 comments: