Pengine ulikuwa hujui kuwa mwimbaji wa bongo fleva ,Chege chigunda ana mtoto mkubwa tu ambaye anaishi jiji Mwanza na mama yake.
Chege aliyasema hayo akiwa kwenye mahojiano na radio moja na kusema kuwa hajaoa lakini ana mtoto mwenye umri wa miaka 13 na anasoma form one.
“Nina mtoto,ni mshakaji wangu,ninampenda namshukuru Mungu watu wote wanampenda..huwa naenda mwanza kumuona,likizo anakuja” alifunguka Chege ambaye pia aliweka kuwa aliwahi kupata mtoto wa pili ila akafariki akiwa mdogo.
0 comments:
Post a Comment