Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Tuesday, February 9, 2016

Roma Mkatoliki anaoa… picha kutoka kwenye send-off hizi hapa



Roma Mkatoliki ni msanii kutoka kwenye ukoo wa bongofleva ambaye anaimiliki post hii kutokana na maamuzi yake ya kuamua kuoa, picha hizi naambiwa ni kutoka kwenye Send-off akisindikizwa na mpambe wake akiwa ni Kala Jeremih ambaye pia ni msanii wa bongofleva.
roma 5
Kwenye picha ya pamoja na Mama
roma 3
Kala Jeremih na Roma
Roma 7
Roma 2
roma 4

Roma 1
Roma na Nancy ambaye ni mama wa mtoto wake aitwae Ivan 

0 comments: