Rapa Snoop Dogg aliyepangwa kufanya show
kwenye shughuli ya Super Bowl 50 anaweza asifanikishe jambo hili baada
ya vyombo vyake vya show kuibiwa.
Vibaka wamevunja dirisha la gari aina ya SUV nakuaiba kumpyuta ndogo, mabegi na vifaa anavyotumia Snoop Kwenye show zake.Snoop Dogg alitakiwa kufanya show San Francisco siku ya Super Bowl 50.
Show ya kwanza ilipangwa kifanyika Feb 2 2016.
ila Habari nzuri ni kuwa bangi zake hazijaibiwa.
0 comments:
Post a Comment