Idris Sultan katika pozi na Wema Sepetu.
Muda mfupi baada ya Gazeti la Ijumaa Wikienda kutoka na stori yenye kichwa cha habari “Who is the father (Nani baba wa mtoto?)”
likiwa ndilo swali ambalo kila mdau na shabiki wa staa Wema Isaac
Sepetu ‘Madam’ anataka kupata jibu sahihi baada ya mrembo huyo kudaiwa
kunasa ujauzito wenye zaidi ya miezi minne na wahusika wawili kutajwa
ambao ni mheshimiwa mbunge na mshindi wa Big Brother Africa ‘Hot Shot’
2014, Idris Sultan.Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Idris ameamua kuvunja ukimya kwa kuandika yafuatayo:
“Me and You are not the ordinary. I sleep, eat, talk and wake up to only thinking about you. As much as utadhani kuwa you are blessed to have me no no i am blessed to have you. At 1st it was weird me kuangalia ndani ya kabati langu kuona nguo zako na viatu au ukiwa unaongea na mimi unaniambia vitu kama “Hivi baby unahisi akiwa wa kiume utafanyaje maana naona umekazana na wa kike” au ukiingia jikoni kwangu and take over my house with good food.
Alimaliza kuandika staa huyo wa BBA na kuzidi kuacha maswali kibao kuwa ni nani hasa mhusika wa ujauzito wa mrembo huyo?
0 comments:
Post a Comment