Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Sunday, January 24, 2016

Huyu ndio staa wa Bongo Fleva ambaye kama Arsenal itafungwa na Chelsea atachoma moja ya magari yake!!


Leo kutakuwa na mchezo mkali wa ligi kuu ya England kati ya mabingwa watetezi Chelsea dhidi ya ARSENAL
Msanii Madee ni mmoja wa mashabiki wa Arsenal ambaye leo atakuwa mpinzani mkubwa wa Chelsea.
Katika kuonyesha mapenzi yake kwa klabu yake ya Arsenal, kwenye ukurasa wake wa @Instagram Madee ameahidi kuchoma gari yake moja moto endapo timu yake ya Arsenal itafungwa na Chelsea.


 

Related Posts:

0 comments: