Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Tuesday, January 12, 2016

Haya ni maeneo ambayo ukipiga SELFIE imekulaa kwako?Huruhusiwi kabisaa!!!!!!


Kuna watu wanapenda "selfie" taarifa ikufikie kwamba kuna maeneo imebidi selfie zipigwe marufuku kwa ajili tu ya usalama wa watu.
No-Selfie-Zones
Sababu ya Serikali kuamua kuingia kati na kuzuia selfie ni ishu za ajali zinazosababisha vifo, kuna ajali ambazo India wanazo kwenye record zao !! Iko ishu ya ajali ya mtalii mmoja kufariki baada ya kuteleza kwenye ngazi za makumbusho ya Taj Mahal, India alipokuwa akijipiga selfie.
ap564815081655
Iko pia stori ya wasichana wawili walioanguka baharini kutoka kwenye ukuta wa ukingo wa bahari wakijipiga selfie, mmoja akafariki mwingine akatoka salama… 

Jeshi la Polisi limeona kuna kila sababu wakasogea hatua moja kwa kutangaza maeneo ambayo ni hatari na ni marufuku kupiga selfie..
Sehemu kubwa ya maeneo ambayo ni marufuku kupiga selfie kwa Mumbai India, ni maeneo ambayo yanatembelewa na ni kivutio kikubwa cha watalii wengi.
Kingine ni kwamba kuna mpango wa kuwekwa pia mabango yaliyoandikwa ‘No Selfie Zone

Related Posts:

0 comments: