Baada ya Kanye West kusema Wiz Khalifa ameiba style ya kufanya muziki ya msanii wake Kid Cudi na matusi mengine, beef ya maneno makali haijaishia twitter hata baada ya Kanye West kufuta twit zake bado Wiz Khalifa hajamalizana naye.
Rapa Wiz Khalifa amemdiss Kanye West akiwa kwenye show Argentina kwa kupayuka maneno haya “F**k Kanye!”.
Je Wiz Khalifa anahasira kiasi hicho na Kanye West.
0 comments:
Post a Comment