Usiku Dec 8 wakazi wa Dar es Salaam
walipata burudani kali kutoka kwa Mwimbaji wa Congo DRC Koffi Olomide
kwenye show ya Selfie 16 na kusherehekea kutimiza miaka 16 ya Clouds
FM iliyofanyika Escape One Mikocheni.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka eneo hilo la tukio.
.
.
.
.
.Meneja wa vipindi vya Clouds FM Sebastian Maganga
.
.
.Msnii Baraka De Prince akiwa kwenye redcarpet
.Christian Bella akipiga selfie na marafiki zake
.
.
.Bendi ya mapacha watatu wakitoa burudani jukwaani
.Jose Mara akitoa burudani ya nguvu
.
.Khalid chokoraa akitoa burudani ya nguvu
.
.
.
.
.Msanii Rubby akiimba kwa hisia
.Msanii Christian Bella akitoa burudani ya nguvu
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.Msanii Mkongwe, koffi Olomide akicheza wimbo wa Ekotite
.
.
.
0 comments:
Post a Comment