Utawala wa kifalme nchini Swaziland
unaongozwa na mfalme Mswati umetakiwa kufutilia mbali sherehe maarufu za
kitamaduni baada ya wasichana kadha waliokuwa wakisafiri kwenda kwa
sherehe hizo kufa kwenye ajali ya barabarani.
| WASICHANA wakidensi mbele ya mswati wakiwa nusu uchi |
Utawala nchini Swaziland unasema kuwa idadi ya wasichana waliokufa ni 13.

0 comments:
Post a Comment