Video ya wimbo wa Alikiba ‘Chekecha Cheketua’, itaoneshwa kwa mara ya
kwanza kwenye kituo cha runinga cha Ufaransa, Trace TV Jumatatu hii.
Video hiyo imeongezwa na muongozaji wa video za muziki wa Nigeria,
Meji Alabi. Itaoneshwa saa tatu na dakika 32 asubuhi kwa saa za Afrika
Mashariki.ANGALIA kipande cha video hapo chini
0 comments:
Post a Comment