LICHA ya mwenyewe kukanusha vikali lakini madai mazito yanasema kuwa, nyota wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ametimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa akiishi iliyopo Kunduchi-Beach jijini Dar baada ya kukosana na mwanamke anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake ambaye pia ndiye mmiliki wa mjengo huo.
Habari kutoka kwa chanzo makini zinaeleza
kuwa, pamoja na Kiba kuendelea kusisitiza kwamba si kweli, mwanamke huyo
anayeishi nchini Singapore, aliamua kuchukua uamuzi huo baada ya kusoma
kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vingine vya habari kuwa, kwa sasa
Kiba ëanatokaí na Miss Tanzania namba 2, 2006, Jokate Mwegelo ëKidotií
huku Kiba mwenyewe akikataa madai hayo.......
0 comments:
Post a Comment