Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Tuesday, April 14, 2015

HIKI NDICHO CHAMA KIPYA CHA SIASA KILICHOPANIA KUING'OA CCM MADARAKANI_CHAPATA USAJILI JIJINI DAR


Mwenyekiti na Muasisi wa Chama cha Kijamaa na Uzalendo Tanzania (CKUT), Ramadhani Semtawa akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kupata usajili wa muda wa chama hicho uliyofanyika katika viwanja vya ofisi ya msajili wa vyama vya siasa leo jijini Dar es Salaam, Kushoto ni katibu Mkuu wa Chama hicho, Noel Antapa.
Mwenyekiti na Muasisi wa Chama cha Kijamaa na Uzalendo Tanzania (CKUT), Ramadhani Semtawa akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kupata usajili wa muda wa chama hicho uliyofanyika katika viwanja vya ofisi ya msajili wa vyama vya siasa leo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti na Muasisi wa Chama cha Kijamaa na Uzalendo Tanzania, Ramadhani Semtawa akiwa ameshika katiba ya CKUT na Kushoto ni Katibu Mkuu wa Chama hicho Noel Antapa akiwa katika viwanja va Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa  jijini Dar es Salaam.


0 comments: