Maandalizi yakiwa yamepamba moto kwenye gym ya masumbwi ya Wild Card iliyopo Los Angeles nchini Marekani.
BONDIA mahiri kutoka Ufilipino, Manny Pacquiao ameendelea kujichua
vikali katika gym ya masumbwi ya Wild Card iliyopo Los Angeles nchini
Marekani.Pacquiao anajiandaa na pambano lake kali dhidi ya Floyd Mayweather litakalopigwa Mei 2, mwaka huu katika Ukumbi wa MGM Grand Garden jijini Las Vegas, Marekani.
Pambano hilo linatazamiwa na wadau wa masumbwi kuwa la karne kutokana na umahiri wa mabondia hao wawili.
0 comments:
Post a Comment