Kampuni
ya Apple imezindua saa ya kisasa ambayo inauwezo wa kupiga simu,kupokea
barua pepe,kucheza muziki na kufuatilia masuala ya afya na mazoezi.
Kampuni
ya Apple Inc itaanza kuuza saa zake mpya mnamo mwezi April 24 mwaka
huu, na bei ya kuanzia sokoni itakuwa dola 10,000 ama paundi 6,611 na
bidhaa yake ya kwanza ghali ilitolewa miaka mitano iliyopita katika
malengo ya kuongeza wigo wa bidhaa zake hasa vifaa vya simu za mkononi.CHECK me!!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment