Cristiano Ronaldo ameamua kuonyesha kwamba kweli soka
linamlipa baada ya kutupia mtaoni mmoja wa usafiri anaomiliki aina ya Rolls-Royce
Ghost wenye thamani ua pauni 330,000 (zaidi ya Sh milioni 890).
Mshindi huyo mara tatu wa taji la mchezaji bora wa dunia maarufu kama Ballon d'Or, Christiano Ronaldo ameonyesha mbwembwe zake.
0 comments:
Post a Comment