Askofu
wa Kanisa Katoliki jimbo la Mbinga Mhashamu John Ndimbo akiongoza ibada
ya mazishi ya aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi marehemu Kapteni
John Damiano Komba wakati wa ibada ya mazishi yake yaliyofanyika
kijijini kwake Lituhi wilayani Nyasa Mkoani Ruvuma leo. Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka udongo
katika kaburi la aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi marehemu Kapteni
John Damiano Komba wakati wa ibada ya mazishi yake yaliyofanyika
kijijini kwake Lituhi wilayani Nyasa ,Mkoani Ruvuma. Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka shada la
maua katika kaburi la aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi marehemu
Kapteni John Damiano Komba wakati wa ibada ya mazishi yake yaliyofanyika
kijijini kwake Lituhi wilayani Nyasa, Mkoani Ruvuma.
(Picha: Freddy Maro).
0 comments:
Post a Comment