Msanii wa Bongo Fleva Noorah akiwa na mke wake Anna Kingwalu siku ya ndoa yao.
Mke wa msanii wa Bongo Fleva Noorah, Anna Kingwalu, amefariki leo nyumbani kwao Morogoro amethibitisha Dark Master. Noorah na Anna walifunga ndoa Juni 8, 2013 nyumbani kwao Shinyanga. Mungu ampumzishe kwa amani.
0 comments:
Post a Comment