Jana na juzi Msichana huyu anayejulikana kama Nice Chande ama @mwakalicious24 amepaishwa sana kwenye mitandao ikisemekana kuwa Rais kamchangua kuwa Mkuu wa Wilaya ...Watu wengi waliguswa hasa kutokana na umbo lake matata ....Bado hatujapata ukweli wa jambo hili lakini haraka haraka nimeangalia majina ya wakuu wa Wilaya wapya sijaona jina lake labda awe anatumia jina jingine ...Jionee Picha zaidi Hapa Chini:
CHECK me!!!!
Monday, February 23, 2015
picha:JIONEE PICHA KIBAO ZA MTOTO MKALII ANAYEDAIWA KUTEULIWA KUWA MKUU WA WILAYA__NA KUZUSHA MSALA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII__ NI NOMAAA
Author: AMMY YEYOO
2:17:00 PM
Jana na juzi Msichana huyu anayejulikana kama Nice Chande ama @mwakalicious24 amepaishwa sana kwenye mitandao ikisemekana kuwa Rais kamchangua kuwa Mkuu wa Wilaya ...Watu wengi waliguswa hasa kutokana na umbo lake matata ....Bado hatujapata ukweli wa jambo hili lakini haraka haraka nimeangalia majina ya wakuu wa Wilaya wapya sijaona jina lake labda awe anatumia jina jingine ...Jionee Picha zaidi Hapa Chini:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment