Taarifa zilizopatikana kutoka eneo la tukio zinasema kuwa, baada ya taarifa hizo kuenea, wananchi walilazimika kumtafuta muuza mishikaki huyo ili wamchukulie hatua. Baada ya kumsaka kwa dakika kadhaa, hatimaye walifanikiwa kumkamata na kumkuta akiwa na paka mmoja aliyekuwa amemchinja na kumuweka kwenye ndoo.Kama wewe ni mla mishkaki ile ya jero jero basi tupia neno moja tu kwa said Mishkaki?
CHECK me!!!!
Wednesday, February 18, 2015
kimbembe:AKAMATWA KWA KUUZA NYAMA YA PAKA
Author: AMMY YEYOO
1:09:00 PM
Taarifa zilizopatikana kutoka eneo la tukio zinasema kuwa, baada ya taarifa hizo kuenea, wananchi walilazimika kumtafuta muuza mishikaki huyo ili wamchukulie hatua. Baada ya kumsaka kwa dakika kadhaa, hatimaye walifanikiwa kumkamata na kumkuta akiwa na paka mmoja aliyekuwa amemchinja na kumuweka kwenye ndoo.Kama wewe ni mla mishkaki ile ya jero jero basi tupia neno moja tu kwa said Mishkaki?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment