Hali hiyo ilipelekea FFU waende kutuliza vurugu>>>chanzo cha vurugu hizo ni uonevu wa polisi kwa raia ambapo inasemekana kuwa polisi walisababisha kifo cha mama mmoja muuzaji wa pombe za kienyeji ambaye alifariki wakiwa wanamvukuza kwa kosa la kuuza pombe muda wa kazi
Vurugu hizo zimesababisha wasafiri waliokuwa wanatoka dar na wanaokwenda kuchelewa sana>
0 comments:
Post a Comment