Ni
mara chache kumsikia msanii w au mtu mashuhuri akijitole kuchangia damu
haswa hadharani kwa kujitangaza. Wengi wamekuwa na mitazamo kuwa labda
waogo wa kupimwa na kufahamika hali yao ya kiafya na wengine basi tu
kuona haina umuhimu au haina ya kujali.
Ila msanii wa miondoko ya Bongo Fleva Ali Kiba leo kabla ya kuachilia ngoma yake amesema atajitole kuchangia damu kisha ndipo akaiachilie ngoma yake LEO MCHANA
fuatilia hapa KALI ZA DJ YEYO mchana tutakuletea ngoma
0 comments:
Post a Comment