Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Friday, January 16, 2015

VICTORIA JUSTICE ASEMA YEYE SIO SABABU YA KUFA KWA SHOW YA "VICTORIOUS"




Kuvunjika kwa show iliyokuwa ikionyeshwa na  Nickelodeon show iliyoitwa  "Victorious" imekuwa ikuhusishwa mara kwa mara na star wa show hiyo  Victoria Justice kwamba aliiua baada ya kuamua kufanya tour binafsi hususani za kimuziki.

Kama wewe huifahamu vizuri show hii ya  "Victorious" iliwahi kurushwa kupitia was channel ya  Nick
elodeon toka  March 2010 hadi  February 2013 na mastaa wakawa ni Victoria  Justice na Ariana Grande ... kabla ya kuvunjika

VJ was the star of the show and when it got the ax, the prevailing rumor was that Victoria chose to do a solo tour INSTEAD of a cast tour ... sealing the show's fate.

JANA HUKO  LAX Victoria amesema kuwa yeye hakuwa chanzo cha kuvunjika kwa show hiyo na sababu ya show hiyo kuvunjika uongozi unaifahamu vizuri




0 comments: