Mshambuliaji wa timu ya Simba Ramadhani Singano Messi, akimpita beki wa
timu ya Mtibwa Sugar wakati wa mchezo wao wa Fainal ya Kombe la
Mapinduzi uliofanyika usiku huu uwanja wa Amaan, Timu ya Simba imeshinda
kwa penenti 4--3
Wapenzi wa mchezo wa mpira Zanzibar wakifuatilia mchezo wa fainali ya
Kombe la Mapinduzi liofanyika usiku huu uwanja wa amaan Zanzibar timu ya
Simba imeshinda mchezo huo na kuwa Bingwa kwa mwaka 2015 bingwa
Mapinduzi Cup.
Mshambuliaji wa timu ya Simba Emanuel Okwi, akimpita beki wa timu ya
Mtibwa wakati wa mchezo wao wa fainali ya Kombre la Mapinduzi
uliofanyika uwanja wa amaan.
Mshambuliaji wa timu ya Mtibwa akimpita beki wa timu ya Simba katika
mchezo wa fainali ya Kombev la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa amaan
Zanzibar usiku huu.
Mashabiki wa timu ya Simba wakiwa na majongo wakati wa mchezo wa timu
ya Mtibwa kuwa sare wakati wa kipindi cha pili kumaliziki hawaamie kama
mchezo umemalizika kwa sare ya bila kufungana na kupigiana penenti Simba
imeshinda 4 na kukosa moja wakati Mtibwa wameshinda 3 na kukosa mbili
Wachezaji wa Timu Simba wakishangilia Ubingwa wao wa Kombe la Mapinduzi
baada ya kushinda Mchezo wa Fainali na Timu ya Mtibwa kwa kuifunga 4--3
0 comments:
Post a Comment