Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Friday, January 16, 2015

PICHA:MKE WA KANYE WEST ALIVYOANIKA KIFUA HADHARANI

1w



Rihanna ni kawaida yake kuchukua headlines kwa picha za ajabu akiwa sehemu mbalimbali na sio muda mrefu ametoka kutengenza habari kwa picha alizopita kwenye red carpet.

kim
Hivi sasa ni zamu ya mke wa Kanye West ambaye na yeye amepiga picha ambazo zinamuonyesha sehemu kubwa ya kifua chake na picha hiyo kuanza kusambaa kwenye mtandao. Kanye West na Kim walikuwa kwenye show huko Tennessee ambapo Kim Kardashian alipiga picha yenye background watu walifika kwenye hiyo show.

0 comments: