Kwa mara ya kwanza Wema Sepetu amezungumza kuhusu uhusiano wa
aliyekuwa mpenzi wake Diamond Platnumz na mrembo wa Uganda, Zari The
Boss Lady ambao sasa ni ‘talk of East Africa’.
enzi za mahaba ya Diamond na Wema walipohudhuria tuzo za MTV MAMA South Africa mwkaa huu
Alianza kwa kuwasifia na kusema anaipenda couple yao,
“Aisee nawapenda they make such a good couple, yeah” alipoulizwa kama haoni wivu alijibu, “Wivu wa nini mimi and Diamond we were not meant to be it didn’t work basi, so I wish him all the best and I wish him happiness.”
Wema na Van Vicker wakiwa kwenye moja ya scene ya filamu yao mpya
Siku chache zilizopita Wema alirejea kutoka Ghana ambako alienda kufanya filamu na muigizaji wa huko aitwaye Van Vicker, na alipoulizwa kuwa hivi sasa ameanza kuwa busy zaidi na kazi zake toka aachane na Diamond tofauti na wakati uhusiano wao ulipokuwa hai, hiki ndicho alichojibu:
“Mi naweza kusema kwamba maybe kila kitu ni starting point and all this my work and my issues ilihitaji starting point, labda nilipokuwa kwenye mapenzi na Nasib nilikuwa blinded kuyaangalia maisha yangu na future yangu…”
Diamond na Zari wakielekea Rwanda
Diamond ambaye weekend iliyopita alifanya show Burundi ameambatana na mpenzi wake Zari ambao jana wametua pamoja Rwanda kwaajili ya show nyingine ya mwaka mpya.

0 comments:
Post a Comment