JAMAA alimuaga mkewe mlokole kuwa anaenda semina ya siku tatu mji
mwingine, kumbe anataka kwenda kunyoosha mgongo na kisamsing. Mke
akamwambia mumewe tupige magoti tusali, wakapiga magoti
MKE: E baba msaidie mume wangu afike salama safari yake
MUME: Emen
MKE: Mpe nguvu katika yote atakayofanya huko
MUME: Emen
MKE: Akitaka kufanya uasherati ashindwe
MUME:............
MKE: Akifanya uasherati apatwe na janga baya
MUME:........
MKE: Yaani akifanya uasherati afie hukohuko
MUME: Maombi gani hayo basi siendi semina furahi wewe

0 comments:
Post a Comment