Rick ross hivi karibuni akiongea na dj absolut, kuhusiana na bifu kati ya lil wayne and jay-z, na kusema kuwa haoni nani zaidi kati yao kwani kila mmoja wao ni mkali.
| Rick Ross |
Pia amesema kuwa wote ni marafiki zake na kama vipi anafili kazi zao na pia wote wanauwezo wa kuchana na pia wana utajiri wa kutosha.
| Rick Ross |
Pia kataja wasanii anaoamini kuwa ni wakali katika hip hop na kusema wa kwanza ni kundi lake la zamani la Maybach Music Group,Lil Wayne,Drake,Wiz Khalifa, na Jay z.
| Chata la album mpya ya Rossey |
Na ameongeza kuwa anampenda kila msanii mwenye kitu kipya.
0 comments:
Post a Comment