Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Monday, November 10, 2014

LULU MICHAEL:SINA TYME NA MMWANAUME

Lulu-538Msanii wa filamu Elizabeth Michael a.k.a Lulu amesema kuwa kwenye maisha yake kwa sasa hatakuwa na muda wa kupoteza kwenye mapenzi bali anaelekeza nguvu zake katika kazi.
Akizungumza na Mwanaspoti hivi karibuni, nyota huyo wa filamu za kibongo alisema ni bora atumie muda huu kutafuta maisha ili watoto wake waje kuishi vizuri.
“Kuliko kupoteza muda na nguvu kwa mwanaume, bora nijitunze kwa ajili ya kuwalea wanangu baadaye, bado nina muda sijaishia katika Foolish Age, Mapenzi ya Mungu, bali nina kazi nyingi ninazohitaji kuzifanya ili watu wajue kwamba Lulu ana kipaji katika kazi ya sanaa na si kwamba niliingia huku kwa bahati mbaya,” alisema Lulu.
Source:Mwanaspoti

0 comments: