Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Thursday, March 9, 2017

NEW SONG:Drama Swagger_Shida

Ni msanii anayefanya vyema Iringa TOWN  katika muziki wa Bongo fleva,na anachipukia kwa kasi.
Track hii amefanyiKa kwenye studio za PLAY REC,producer ni Florizy.

Pakua na kusikiliza hapa BURE kABISA>>>Enjoy
https://my.notjustok.com/track/download/id/192276

Tuesday, March 7, 2017

NEW SONG:NATAMANI_VESTA MAVOKO


Msanii anaitwa Vesta Mavoko anawakilisha vyema Iringa na vitongoji vyake
Baada ya kutoa Mkongojo na watu kuipokea vyema hii tena ni nyingine kutoka kwa msanii huyu anayechipukia vyema na inaitwa NATAMANI,KAIFANYIA studio za Q5 REC.

ISIKILIZE NA IPAKUE HAPA BURE


TEMBELEA

HIZI NDIO,nchi 10 ambazo wananchi wake wanakula maisha kuliko zote duniani.


Umoja wa mataifa ‘UN’ umetoa ripoti ya mwaka 2017 kuhusu nchi zenye furaha zaidi duniani ikiwa ni muendelezo wa tafiti mbalimbali zinazofanywa kila mwaka
Ili nchi iweze kuingia katika list hii ni lazima ikidhi vigezo kama upatikanaji wa huduma za kijamii kwa urahisi kama vile elimu bure, afya bora, miundombinu, sehemu nzuri za kutembelea na amani.
1. Denmark
Denmark inatajwa kama nchi namba moja yenye furaha zaidi duniani ambapo moja ya sifa za nchi hiyo ni pamoja na kuwa na sehemu nzuri za kutembelea ambazo hufanya watalii wengi kutembelea, afya bora ambapo wananchi hupata huduma za afya bure, elimu bure pamoja na kupewa likizo ya mwaka mmoja kwa mama wajawazito.

2. Switzerland
Kuwepo kwa huduma muhimu za kijaamii kwa wananchi kumeiweka Switzerland katika nafasi ya pili ya nchi zenye furaha zaidi duniani.

3. Iceland
Hadi kufikia karne ya 20 Iceland ilikuwa moja ya nchi maskini zaidi Ulaya na kufikia 2013 ilikuwa katika nafasi ya 13 ya nchi zenye uchumi mkubwa duniani. Kukua kwa uchumi wa nchi kuliifanya serikali kuwa na uwezo wa kuwekeza kwenye vitu vya muhimu kwa wananchi wake.
4. Norway
Norway ni moja kati ya nchi zenye idadi ndogo sana ya watu na rasilimali nyingi inazotosheleza watu wote. Hii imeifanya Norway kushika nafasi ya nne ya nchi zanye furah zaidi duniani.                                                                                     
5. Finland
Kwa mujibu wa ripoti ya UN Finland imetajwa kama nchi ya 5 katika list ya nche zenye furaha zaidi duniani.

6. Canada
Licha ya kuwa nchi ya pili kwa ukubwa duniani pia Canada imetajwa kama nchi yenye furaha zaidi duniani kwa mwaka 2017.

 7. Netherlands au Uholanzi
Licha ya kuwa ni nchi yenye idadi kubwa ya watu ukiziacha Bangladesh na China Netherlands pia ni nchi ya pili kwa kuzalisha mazao mengi ya biashara duniani. Hii imesaidia serikali ya Netherlands kutoa huduma za kijamii kama elimu na afya bure.

8. New Zealand
Ni moja kati ya nchi zinazosifika kwa ufugaji wa Kondoo wanaoiletea nchi hiyo maendeleo makubwa na kuifanya serikali iweze kuwekeza kwenye mwendeleo ya kijamii.

9. Australia
Australia imetajwa  kuwa ni nchi namba 9 kwa kuwa na furaha zaidi duniani kwa mujibu wa ripoti ya UN 2017.

10. Sweden
Licha ya kushuka daraja kutoka namba 8 mwaka 2016 Sweden imebaki kwenye top ten ya nchi zenye wananchi wenye furaha zaidi duniani kwa mujibu wa UN 2017.

Monday, February 27, 2017

NEW SONG:ROCK D_SALOME

MSANII ROCK D,maarufu kwa ngoma ya "SABRINA"aliyofanya kwenye studio za AMBA REC,PRODUCER AKIWA NI k-LOOSE,LEO TENA KWA MPISHI yule yule anatuletea bonge la ngoma linaitwa "SALOME" pakuwa hapa na Uisikilize bure

https://my.notjustok.com/track/download/id/187582

Friday, February 24, 2017

NEW SONG:VESTA MAVOKO_MKONGOJO

Msanii anaitwa Vesta mavoko anawakilisha Iringa town na hii ni ngoma yake nyingine inaitwa Mkongojo ipate hapa katika kuinua talent ya wasanii wa Iringa ......PAKUWA BURE kabisa

Thursday, February 23, 2017

NEW SONG:KII(TIGREe) FT DULLAYO(TIMING)__NISKILIZE

MSANII wa mkali wa rap kutoka Iringa town anaitwa KII a.k.a TIGREe  ANASHIRIKIANA NA MSANII Dullayo kukuletea hii ngoma KALI  inaitwa NISKILIZE,ipate hapa BURE 


https://my.notjustok.com/track/download/id/185883

Monday, February 20, 2017

NEW SONG:GISSELA ft SEP-P__BADILIKA

Katika kupambana na dawa za kulevya msanii wa kike wa hip hop Iringa Gissela ametoa ngoma ili kusisitiza movement ya kupinga madawa ya kulevya,
Kamshirikisha Sep-p na PRODUCER ni  Kgt 


https://my.notjustok.com/track/download/id/184823

Friday, February 10, 2017

NEW SONG:IMMA MELODY FT MAKAMUA__ BEST COUPLE

WAKATI ZIMEBAKI siku 4 tuikute VALENTINE DAY,Msanii Imma melody anatuletea hii nzuri inaitwa BEST COUPLE...KAMSHIRIKISHA Makamua.

Thursday, December 22, 2016

NEW SONG:Bobsigga ft ZASHA _Makubwa


Msanii anaitwa Bobsiga anawakilisha Iringa na ni mwanamuziki wa Hip hop,hapa kaja na wimbo unaitwa Makubwa na kamshirikisha rapper bora Iringa anaitwa Zasha swaigon pakua hapa BURE
https://my.notjustok.com/track/download/id/162649

Wednesday, December 21, 2016

NEW SONG:Rashz wa Bara_Nani kama mama

 
Anaitwa Rashz wa Bara ni msanii kutoka nyanda za juu kusini anawakilisha Iringa,Anafanya kwa ufanisi wa hali ya juu muziki wa Mduara na hajawahi kuuangusha muziki aina hii na hapo kaja na wimbo mwingine unaitwa Nani kama mama,na ni mduara mzuri ambao unachezeka na pia una ujumbe mzuri. PAKUA na uusikilize hapa bure kabisa Kwa wale watangazaji wimbo huu ni mzuri wa kutumia kwenye vipindi vinavyo muhusu mwanamke hususani mama.
https://my.notjustok.com/track/download/id/162365