Baada ya kutemana na baba watoto wake wiz khalifa ,Amber Rose inaonyesha kapata mwanaume mwingine na imefahamika hivi sasa anatoka na kaka waFrench Montana aitwae Zack. kulikuwa na tetesi awali kuwa Amber anatoka na French montana ila kiuhalisia montana na ndugu yake wamekuwa wakionekana pamoja kila sehemu hivyo watu kudhani kuwa Amber anatoka na montana kumbe anatoka na ndugu yake
Wiz khalifa naAmber
Taarifa zaidi zinadai kuwa Amber amekuwa akifanya siri sana katika uhusiano huo ili watu wasimuone ni mwingi wa mambo na pia asimuonesheeWiz Khalifa, dharau ila wamekuwa wakionekana pamoja sehem mbalimbali za bata
Picha hapo chini inaonyesha french montana akiwa na marafiki zake wa karibu ila Amber na mpenz wake mpya wako ndani
KESI YA CHID BENZ YAAHIRISHWA HADI APRIL
Chid Benz akitoka mahakamani.
Kesi
inayomkabili mwanamuziki Rashid Makwilo ‘Chid Benz’ akidaiwa kukutwa na
madawa za kulevya leo imeahirishwa katika Mahakama ya Hakimu…Read More
0 comments:
Post a Comment